DK. MFAUME AWASIHI WAKURUGENZI KUUNDA TIMU YA UKAGUZI WA VIFAA TIBA
Na MWANDISHI WETU
-KAGERA
MKURUGENZI wa Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dk. Rashid Mfaume amewaomba wakurugenzi wa Halmashauri nchini...
MAFANIKIO SEKTA YA NISHATI KUELEZWA, KERO KUTATULIWA
*AMPONGEZA RAIS, DK. SAMIA KWA KASI YA UTEKELEZAJI MIRADI, DK. BITEKO KUFUNGUA RASMI MAONESHO APRILI 16, 2024
Na MWANDISHI WETU
-DODOMA
NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga...
TUTAVUKA LENGO UKUSANYAJI WA MAPATO MSALALA – DED
Na MWANDISHI WETU
-MSALALA, KAHAMA
MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Msalala, Khamis Katimba amesema, halmashauri hiyo inatarajia kuvuka lengo la ukusanyaji mapato kwa Mwaka wa Fedha...
RC SONGWE DANIEL CHONGOLO AKUTANA NA UONGOZI WA HIFADHI YA NGORONGORO
Na MWANDISHI WETU
Uongozi ya Hifadhi ya Ngorongoro umefanya ziara ya kikazi kuonana na Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo.
Pamoja na mambo mengine walijadiliana...
ZIARA YA KINANA MKOANI MARA YAIBUA MTIFUANO
*MAKUNDI MAKUBWA MAWILI YAIBUKA CCM RORYA, MWENYEKITI WA CCM, DC WARUSHIWA KOMBORA WENYEWE WAJIBU
ZIARA YA KINANA MKOANI MARA YAIBUA MTIFUANO
*MAKUNDI MAKUBWA MAWILI YAIBUKA CCM...
PROFESA GURNAH KUTUA LEO APRILI 12, KUTOA TUZO YA TAIFA YA...
Na MWANDISHI WETU
-DAR ES SALAAM
MSHINDI wa Tuzo ya Nobel ya mwaka 2021 katika fasihi, Prof. Abdulrazak Gurnah, anatarajiwa kuwasili nchini Tanzania leo Aprili 12,...
SERIKALI YATOA MILIONI 399/- KWA WANANCHI WALIOATHIRIWA NA TEMBO NACHINGWEA
Na MWANDISHI WETU
-NACHINGWEA
SERIKALI kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imetoa kifuta jasho na kifuta machozi cha zaidi ya shillingi millioni 399 kwa wananchi 1,658...