TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA SITA USALAMA WA ANGA AFRIKA MASHARIKI
Na MWANDISHI WETU
-DAR ES SALAAM
MKUTANO wa Sita wa Taasisi inayosimamia Ulinzi na Usalama wa Usafiri wa Anga Afrika Mashariki (CASSOA) unatarajia kufanyika kuanzia Mei...
NMB ILIVYOACHA ALAMA MIOYONI MWA YATIMA, WENYE UHITAJI KUPITIA IFTAR YA...
•VITUO SABA ZANZIBAR, DAR ES SALAAM, DODOMA VYENYE WATOTO ZAIDI YA 1,000 VYAPEWA MISAADA
•MAKAMU WA PILI WA RAIS SMZ, WAZIRI MKUU JMT, SPIKA WA...
WANAWAKE MIRERANI WAANDAMANA KUPINGA KUFUNGWA MIGODI
Na MWANDISHI WETU
-MIRERANI, MANYARA
WANAWAKE ambao wanafanya kazi ya kuchekecha michanga katika Machimbo ya Tanzanite Mirerani wanaofanya biashara za madini wameandamana kumuomba Rais Dk. Samia...
WATEJA WATANO NMB WAJINYAKULIA KITITA CHA MILIONI MOJA
Na MWANDISHI WETU
-SONGEA
Wateja watano wa Benki ya NMB wamejinyakulia fedha taslimu Sh.milioni moja kila mmoja katika Droo ya kila Mwezi iliyochezwa katika tawi la...
NMB YAFUTURISHA WABUNGE, WATEJA NA WATOTO WENYE UHITAJI DODOMA
NA MWANDISHI WETU
-DODOMA
WIKI moja tangu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipoipongeza Benki ya NMB kwa jicho la huruma kwa Watoto Yatima, na kuzitaka Mamlaka za...
DK. NCHIMBI AWEKA MSIMAMO DIPLOMASIA YA UCHUMI NA SIASA KUNUFAISHA TANZANIA
Na MWANDISHI WETU
-DAR ES SALAAM
KaAIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema CCM, chini ya uongozi wa Mwenyekiti wake,...
MTENDAJI MKUU TARURA AAGIZA USANIFU UPYA DARAJA LA BIBI TITI MOHAMMED-MOHORO
Na MWANDISHI WETU
-RUFIJI
MTENDAJI Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff, ameagiza timu ya wataalamu wa TARURA Makao Makuu...