WAZIRI NAPE NNAUYE AKUBALI YAISHE
*AOMBA RADHI KWA KAULI YAKE YA USHINDI NJE YA BOKSI
Na MWANDISHI WETU
-DAR ES SALAAM
WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewaomba...
WAZIRI DK. JAFO APONGEZA UTENDAJI KAZI WAKALA WA VIPIMO
Na VERONICA SIMBA
-WMA, DODOMA
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo, amepongeza Wakala wa Vipimo (WMA) kwa utendaji kazi mahiri na wenye weledi na...
VIFO AFRIKA VYAONGEZEKA KWA KASI, WATU 250,000 WAPOTEZA MAISHA
*RIPOTI YA HALI YA USALAMA MWAKA 2021 YBAINI WATEMBEA KWA MIGUU WAATHIRIKA WAKUU
Na MWANDISHI WETU
-Nairobi, KENYA
VIFO vya barabarani vinaongezeka kwa kasi zaidi barani Afrika...
AMEND TANZANIA WATOA MAFUNZO USALAMA BARABARANI KWA MADEREVA WA BODABODA KORONGWE
Na MWANDISHI WETU
-TANGA
SHIRIKA la Amend Tanzania kupitia ufadhili wa Ubalozi wa Uswiss nchini limetoa mafunzo na elimu ya usalama barabarani kuhusu sheria na alama...
DIWANI CCM RORYA ALIA NA UFISADI TARURA
*ASIMULIA MBELE YA WANANCHI MILIONI 400/- ZA DARAJA ZILIVYOPIGWA NA WAJANJA, MBUNGE AGUSWA
Na MWANDISHI WETU
-MARA
DIWANI wa Kata Nyathorogo Halmashauri ya Wilaya ya Rorya mkoani...
MKURUGENZI MKUU NIRC AWATAKA WAKANDARASI KUSAIDIA JAMII MAENEO YA MIRADI
Na MWANDISHI WETU
-KATAVI
Mkurugenzi Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliji (NIRC), Raymond Mndolwa, amewataka Wakandarasi wanaojenga miundombinu ya umwagiliaji kuhakikisha wanasaidia jamii hususani maeneo yenye...
DC SHAKA ATOA MAAGIZO UHARAKISHAJI HUDUMA KIJIJI CHA KITETE
Na MWANDISHI WETU
-KILOSA
MKUU wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka ametoa maagizo manne kuhakikisha wananchi katika Kijiji cha Kitete wilayani humo wanapata...
NIRC YAKABIDHI MRADI WA BILIONI 5.2/- KWA MKANDARASI MKOANI NJOMBE
Na MWANDISHI WETU
-NJOMBE
TUME ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imekabidhi kazi ya ujenzi wa mradi wa umwagiliaji katika Kijiji cha Itipingi mkoani Njombe kwa mkandarasi...
TANZANIA KUWA NCHI YA KWANZA AFRIKA KUFANYA FILAMU KOREA KUSINI
Na MWANDISHI WETU
RAIS wa Filamu Korea Kusini Yang Jongkon amesema Tanzania imechaguliwa kuwa nchi ya kwanza Africa kufanya movie na nchi hiyo huku akiahidi...
UNESCO RASMI KUIUNGA MKONO TANZANIA MAGEUZI YA KIDIGITALI
Na MWANDISHI WETU
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limetangaza utayari wake wa kuiunga mkono Tanzania katika juhudi za kuimarisha...