Saturday, December 21, 2024
Home Blog Page 3

KAMPUNI YA GESI ORYX YAMPA UBALOZI SHILOLE

0
Na MWANDISHI WETU -DAR ES SALAAM KAMPUNI ya Gesi ya Oryx  imemtangaza Mama Lishe Zuwena Mohamed maarufu Shilole (Shishifood) kuwa balozi wao katika kuhamasisha matumizi ya...

SAMIA KLINIKI ARDHI YAZINDULIWA WILAYANI BAGAMOYO

0
Na MWANDISHI WETU -PWANI WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanzisha rasmi kampeni maalumu ya kliniki za ardhi zinazoendelea katika maeneo mbalimbali nchini iliyopewa...

RAIS SAMIA AWASHUKIA WATUKANA VIONGOZI

0
*ASEMA ALIYEFUNDISHWA DINI HAWEZI KUFANYA HIVYO, AWASHANGAA WANASIASA WANAOENDELEA KUTUSI, KUDHALILISHA Na MWANDISHI WETU -ZANZIBAR RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa dini zote nchini kukaa na...

NMB YATOA MIKOPO YA TRILIONI 1.7/- SEKTA YA KILIMO MIAKA MITANO

0
Na MWANDISHI WETU -DAR ES SALAAM BENKI ya NMB imefichua siri ya mwamko wa Wadau wa Sekta ya Kilimo kuchangamkia Mikopo ya Kilimo-Biashara, ambako ndani ya...

DK. MWASAGA- TANZANIA IPO TAYARI KWA AKILI MNEMBA  

0
Na MWANDISHI WETU -DAR ES SALAAM IMEELEZWA kuwa, Tanzania sasa ipo tayari kwa matumizi ya teknolojia ya Akili Mnemba na kwamba Watanzania hawapaswi kuwa na hofu...

JESHI LA POLISI LAPIGIA CHAPUO  MAFUNZO KWA MADEREVA WA BODABODA HANDENI

0
Na MWANDISHI WETU -HANDENI JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, limesema ipo haja kwa waendesha bodaboda wilayani humo kuendelea kupatiwa...

NMB YAELEZA UWEZO WAKE KUKOPESHA HADI BILIONI 515/- KWA MKUPUO

0
NA MWANDISHI WETU -DAR ES SALAAM KUPITIA Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara Tanzania, yanayoendelea jijini Dar es Salaam, Benki ya NMB imeeleza ina uwezo...

NIRC YAHIMIZA WAHANDISI KUSAJILIWA, KUENDANA NA KASI YA UWEKEZAJI WA RAIS...

0
Na MWANDISHI WETU -DODOMA TUME ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imesema kutokana na uwekezaji mkubwa alioufanya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika miradi ya umwagiliaji ni...

BOHARI YA DAWA YAJA NA MAGEUZI MAKUBWA NCHINI

0
MAKUSANYO YA FEDHA KWENYE VITUO VYA HUDUMA ZA AFYA KWENDA MSD YAFIKIA SHILINGI BILIONI 118.9 MWAKA 2022/23 Na MWANDISHI WETU -DODOMA BOHARI ya Dawa (MSD), imetangaza mageuzi...

MSD ILIVYOTAFSIRI DHANA YA  KUJITEGEMEA KWA VIFAA TIBA

0
*GLOVES PEA MILIONI 86.4 KUZALISHWA KIWANDA CHA IDOFI, MAKAMBAKO Na MWANDISHI WETU - NJOMBE KAZI Inaendelea. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Bohari ya Dawa (MSD) kuitafsiri kwa...