SERIKALI KUONGEZEA UWEZO KITUO CHA KUPOZA UMEME MBAGALA
*LENGO NI KUONDOA CHANGAMOTO YA KUKATIKA UMEME MBAGALA, NAIBU WAZIRI KAPINGA ASEMA MRADI WA KUPELEKA UMEME ENEO LA KITUME - BAGAMOYO WAFIKIA ASILIMIA 57
Na...
IMF YAAHIDI KUSAIDIA KENYA BAADA YA MAANDAMANO YA KUPINGA NYONGEZA YA...
Na MWANDISHI WETU
-NAIROBI, KENYA
SHIRIKA la Fedha la Duniani (IMF) limesema linafuatilia kwa karibu matukio nchini Kenya, ambapo maafisa wa usalama wametuhumiwa kwa kuwapiga risasi...
RC MTANDA AIPONGEZA MSD KWA MAGEUZI YA UTENDAJI
Na MWANDISHI WETU
-MWANZA
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ameipongeza Bohari ya Dawa (MSD) kwa ugatuzi wa madaraka kwa Kanda zake nchini, kwani uamuazi...
BARABARA YA KUINGIA IKULU YA NAIROBI YAFUNGWA NCHINI KENYA
Na MWANDISHI WETU
-NAIROBI, KENYA
POLISI wa kupambana na ghasia wamefunga barabara karibu na Ikulu ya Nairobi katika juhudi za kuwazuia waandamanaji wa kupinga muswada ya...
RUTO AKATAA KUSAINI MUSWADA TETE WA FEDHA
Na MWANDISHI WETU
-NAIROBI, KENYA
RAIS wa Kenya William Ruto amekataa kutia saini Mswada wa Fedha wa 2024.
Chombo cha habari nchini Kenya, Star Kenya kimeripoti kikinukuu...
TANESCO YATANGAZA KUANZA RASMI MABORESHO MFUMO WA LUKU KANDA ZA KUSINI...
Na AGNES NJAALA
-RUKWA
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuanza rasmi kwa zoezi la maboresho ya mfumo wa LUKU ambapo sasa ni zamu ya mikoa...
AMREF YAIPONGEZA NMB KUCHANGIA MILIONI 60/- UZAZI NI MAISHA ZANZIBAR
Na MWANDISHI WETU
-ZANZIBAR
SHIRIKA la AMREF Health Africa – Tanzania, limeipongeza Benki ya NMB kwa kuchangia vifaa tiba vya Shilingi milioni 20.17 katika mwaka wa...
IMF YAIDHINISHIA TANZANIA BAJETI YA TRILIONI 2.46, KUKABILI ATHARI MABADILIKO YA...
Na MWANDISHI WETU
-DODOMA
SHIRIKA la Fedha la Kimataifa (IMF) litaipatia Tanzania zaidi ya dola za Marekani milioni 935.6, sawa na shilingi trilioni 2.46 ambapo kati...
ASKOFU WOLFGANG PISA RAIS MPYA TEC
Na MWANDISHI WETU
-DAR ES SALAAM
BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania-TEC limetangaza safu mpya ya uongozi baada ya kufanya uchaguzi, Rais mpya wa baraza hilo akiwa...
UZINDUZI DAFTARI LA WAPIGAKURA SASA KUFANYIKA JULAI 20, 2024
Na MWANDISHI WETU
-KIGOMA
TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kusogezwa mbele kwa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura hadi...