TANESCO YAWEZESHA KUANZA KWA UJENZI WA TUTA MTO LUMEMO
Na SHAMU LAMECK
-IFAKARA
SHIRIKA la umeme Tanzania (TANESCO) limeanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa tuta la kuzuia maji ya mto lumemo uliopo kwenye Halmashauri ya...
BALOZI DKT. NCHIMBI MSIBANI KWA TIXON NZUNDA
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi amejumuika pamoja na waombolezaji wengine, kutoa heshima za mwisho na kuaga mwili...
NMB YAPIGA JEKI HOSPITALI DKT. JAKAYA KIKWETE, SHULE ZA MSINGI
NA MWANDISHI WETU
KATIKA kuunga mkono juhudi za serikali katika kuhimarisha huduma mbalimbali za kijamii, Benki ya NMB imetoa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya Sh...
SERIKALI YAONDOA HOFU UMEME KUFIKA VITONGOJI VYOTE NCHINI
*NAIBU WAZIRI KAPINGA ATANGAZA KILA KONA KUNG’ARA KWA MWANGA WA UMEME, VITUO VYA KUPOZA UMEME KUJENGWA KILOSA, MBINGA NA HANANG’
Na MWANDISHI WETU
-DODOMA
NAIBU Waziri wa...
NEMC YAHIMIZA WAWEKEZAJI KUEPUKA ATHARI KWA JAMII NA MAZINGIRA
Na MWANDISH WETU
-DAR ES SALAAM
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limewataka wenye miradi ya maendeleo kufanya kaguzi binafsi kila mwaka...
NIRC, TRC, BENKI YA DUNIA KUANZA UJENZI MABWAWA SITA KUKABILI MAFURIKO,...
Na MWANDISHI WETU
-DODOMA
TUME ya Taifa ya Umwagiliaji kwa kushirikiana na Shirika la Reli Tanzania (TRC) chini ya ufadhili wa Benki ya Dunia, inaendelea na...
AFCFTA KUONGEZA MAUZO YA NJE NA KUBORESHA UWIANO WA BIASHARA
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt Hashil Abdallah amesema utekelezaji wa Mkataba wa Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA) katika kuondoa vikwazo...
INEC YAWATAKA WATENDAJI UBORESHAJI KUTUNZA VIFAA
Na MWANDISHI WETU
-KIGOMA
TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetaka watendaji wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura Mkoani Kigoma kuhakikisha...