CHADEMA KUFANYA MIKUTANO 105 KWA CHOPA
Na MWANDISHI WETU
-ARUSHA
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kinatarajia kufanya mikutano 105 katika mikoa minne ya Kanda ya Kaskazini katika Operesheni yake ya kukijenga...
RAIS WA GUINES BISSAU KUTUA TANZANIA KWA SIKU TATU
Na MWANDISHI WETU
Rais Jamhuri ya Guinea Bissau, Umaro Sissoco Embaló anatarajia kufanya ziara ya siku tatu nchini yenye lengo la kukuza uhusiano na diplomasia...
CHALAMILA ATANGAZA MSAKO KWA WAGANGA WA KIENYEJI DAR ES SALAAM
Na MWANDISHI WETU
-DAR ES SALAAM
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema hivi karibu wataanza oparesheni maalum inayolenga waganga wa kienyeji wanaofanya...
WAZIRI MKUU AAGIZA WAKUU WA MIKOA, WILAYA KUANZISHA OPARESHENI MAALUMU ZA...
Na MWANDISHI WETU
-DODOMA
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa na wilaya nchini kuhakikisha kila halmashauri inaanzisha operesheni maalum za ulinzi kwa watu wenye...
WAZIRI UMMY AZINDUA KAMPUNI TANZU YA MSD MEDIPHAM MANUFACTURING CO. LTD
Na MWANDISHI WETU
-DODOMA
WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amezindua Kampuni Tanzu ya Bohari ya Dawa inayoitwa MSD Medipham Manufacturing CO. Ltd, itakayosimamia viwanda vya kuzalisha...
UZIO WA PILIPILI UNAVYOSAIDIA WAKAZI TUNDURU KULINDA MAZAO YAO DHIDI YA...
Na BAKARI KIMWANGA
-ALIYEKUWA TUNDURU
Katika jamii nyingi vijijini kama kijiji cha Mbati katika kata ya Mbati, Wilaya ya Tunduru, Mkoa wa Ruvuma ambacho kipo karibu...
WAZIRI MKUU ATAJA MIKAKATI ULINZI DHIDI YA WENYE UALBINO
Na MWANDISHI WETU
-DODOMA
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametaja mambo manane ambayo serikali inakusudia kuyatekeleza ili kuhakikisha watu wenye ualbino wanalindwa.
Hayo ameyasema leo Juni 20, 2024...
BENKI YA TCB YATENGENEZA FAIDA YA SHILINGI BILIONI 19.27
Na MWANDISHI WETU
- DAR ES SALAAM
MKURUGENZI Mtendaji wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Adam Mihayo amesema kuwa Benki hiyo imeshuhudia ongezeko kubwa la mapato ya...