Tuesday, January 7, 2025
Home Blog Page 9

TIRDO,TUME YA TEHAMA WASAINI HATI YA MAKUBALIANO YA KUNDELEZA TEHAMA NCHINI

0
Na MWANDISHI WETU -DAR ES SALAAM SHIRIKA la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO) pamoja na Tume ya Tehama wamesaini makubaliano ya kuendeleza teknolojia katika...

AU WATAMBUA JITIHADA ZA RAIS SAMIA KWA KUWAINUA WAVUVI WADOGO NCHINI

0
Na MWANDISHI WETU -DAR ES SALAAM UMOJA wa Afrika (AU) na Shirika la Kilimo na Chakula (FAO) wamemtambua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Waziri wa...

HATUA MUHIMU KUMALIZA MIGONGANO YA BINADAMU, WANYAMAPORI ZATAJWA

0
Na MWANDISHI WETU -DAR ES SALAAM HATUA ya kuibuka kwa migongano baina ya binadamu na wanyamapori imetejwa kama changamoto hasa kwa wananchi kuhisi wanaonewa, sasa njia...

MKURUGENZI TMDA: HAKUNA DAWA ZA KUONGEZA MAKALIO, MATITI WALA VIUNGO KWA...

0
Na MWANDISHI WETU -IRINGA HATIMAYE Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imevunja ukimya na kusema kuwa hadi sasa hakuna dawa ya kuongeza makali, matiti na...

SERIKALI YAONYA WAUZA DAWA HOLELA MITAANI

0
Na MWANDISHI WETU -IRINGA SERIKALI imetoa tahadhari dhidi ya dawa zinazotembezwa mkononi ikiwa ni pamoja na zinazouzwa katika vyombo vya usafiri kinyume na sheria ikitaja dawa...

WATUHUMIWA 10,522 DAWA VYA KULEVYA WATIWA MBARONI

0
Na MWANDISHI WETU -DODOMA WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama kuwa mwaka...

KITITA CHA NHIF KUBORESHA ZAIDI HUDUMA

0
Na MWANDISHI WETU -DODOMA WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema kuwa katika Mwaka wa Fedha 2023/24, Wizara imeidhinisha matumizi ya kitita kipya cha mafao cha Mfuko...

HATIFUNGANI YA NMB JAMII YAANZA KUUZWA SOKO LA HISA LONDON

0
Na MWANDISHI WETU BENKI ya NMB imetanua wigo wa kushiriki katika masoko ya mitaji kimataifa kwa kuiorodhesha hatifungani yake ya jamii (NMB Jamii Bond) jana...

UMMY ALIOMBA BUNGE TRILIONI 1.31 BAJETI WIZARA YA AFYA

0
Na MWANDISHI WETU -DODOMA WIZARA ya Afya Ummy Mwalimu ameomba Bunge kuidhinisha mpango wa bajeti ya mapato na matumizi wa Shilingi trilioni 1.31 kwa mwaka wa...

NMB YAKABIDHI VIFAA VYA MILIONI 16.7/- TIMU ZA MAJESHI TANZANIA

0
Na MWANDISHI WETU -DAR E S SALAAM BENKI ya NMB imekabidhi vifaa vya michezo vyenye thamani ya Shilingi milioni 16.7,  ambavyo ni sehemu ya udhamini kwa...