‘Tutamwambia mama’ Suala la bima ya Afya kwa watoto halijakaa sawa
‘Tutamwambia mama’
Suala la bima ya Afya kwa watoto halijakaa sawa
Na MWANDISHI WETU
WAKATI Serikali ikihangika kukamilisha muswada wa bima ya afya kwa wote ndani ya...
Ahueni: Bei ya mafuta yazidi kushuka nchini
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za ukomo wa mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa...
Mfumo wa Benki Wakala wachangia kukuza biashara ya bima nchini
Na. Farida Ramadhani WFM, Dodoma
Serikali imeeleza kuwa Mfumo wa Benkiwakala wa Bima umesaidia kukuza biashara ya Bima nchini.
Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Waziri...
Serikali kuendelea kuboresha mazingira ya biashara nchini
Na Joseph Mahumi WFM, Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango, Lawrence Mafuru, amewahakikishia wafanyabiashara na makampuni binafsi kwamba Serikali itaendelea kuboresha mazingira...
Serikali yaanza kuwapekua waliongeza ‘cha juu’ malipo ya ndege
Na MWANDISHI WETU
-DODOMA
Waziri wa Fedha na Mipango,Dk. Mwigulu Nchemba amesema mifumo ya malipo ipo imara huku akidai waliohusika kuongeza fedha za manunuzi ya ndege...
Mbunge Kilumbe alia na Vitambulisho vya NIDA
Na MWANDISHI WETU
-DODOMA
Mbunge wa Kigoma Mjini, Kilumbe Ng’enda ameiomba Serikali kuliangalia suala la vitambulisho vya Taifa kwani watanzania wengi bado hawajavipata.
Akichangia bungeni mjadala wa...
Dk. Tulia ataitaka Serikali kutoa ajira kwa wanaojitolea
Na MWANDISHI WETU
-DODOMA
Spika wa Bunge la Dk.Tulia Ackson, ameitaka Serikali kupitia Wizara za Afya, TAMISEMI pamoja na Ofisi ya Rais Utumishi kuangalia upya utaratibu...
SMZ: Ushirikiano, mchango wa NMB kwa maendeleo ya Zanzibar ni wa...
NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imekiri kuvutiwa na jitihada za Benki ya NMB visiwani humo, ikiwemo kutoa ushirikiano wa dhati...
Rais Samia afanya uteuzi mwingine
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo;
Kwanza, amemteua Andrew Wilson Massawe kuwa Mwenyekiti wa Bodi...
Hakuna wilaya itakayokosa gari la kubebea wagonjwa
*Serikali yanunua magari mapya 727 nchi nzima
Na MWANDISHI WETU
-DODOMA
Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel amesema kuwa Serikali imenunua magari 727 ya kubebea wagonjwa na...