Daraja Mto Lumpungu mbioni kuanza mchakato wa ujenzi
Na MWANDISHI WETU
-DODOMA
Serikali imeanza imeanzisha mchakato wa mazungumzo kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Mto Lumpungu mkoani Kigoma.
Mto huo ambao umepita katika mpaka...
Waziri Mkuu amaliza sintofahamu ruzuku ya Chadema
Na MWANDISHI WETU
-DODOMA
Katika bajeti ya 2022/23, Serikali imetoa ruzuku ya Sh bilioni 17 kwa vyama sita vya siasa vyenye sifa za kupewa ruzuku.
Vyama hivyo...
Waliogushi vyeti walamba Sh bilioni 35.02 malipo zaidi yakiendelea
Na MWANDISHI WETU
-DODOMA
WAKATI wimbo la walioghushi vyeti likiendelea kipasua kichwa Serikali, imebainika jumla ya Sh bilioni 35.02 zimelipwa kwa watu 11,896 waliokuwa wafanyakazi ambao...
RITA yaja na mageuzi makubwa usajili wa vyeti
*Sasa vyeti vyote kuwa na saini moja ya Mtendaji Mkuu
Na MWANDISHI WETU
-DAR ES SALAAM
KWA muda mrefu Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) imekuwa...
Waziri Ummy: Mgonjwa wa Marburg aliyepona ameruhusiwa kutoka hospitali
*Asisitiza Tanzania ni salama.
Na Catherine Sungura
DAR ES SALAAM
MGONJWA mmoja wa Marburg mwenye umri wa miaka (26) ameruhusiwa akiwa na afya njema na jamii imetakiwa...
Mbunge Lugangira ataja mambo manne yaliyopaisha Rais Samia miaka maiwili ya...
Na MWANDISHI WETU
-DODOMA
MBUNGE wa Viti Maalum, Neema Lugangira (CCM), ameyataja mambo manne aliyofanya Rais Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka miwili akiwa madarakani.
Mambo...
Profesa Kitila awawashia moto wanaojaribu kumtenganisha Rais Samia na CCM
Na MWANDISHI WETU
-DODOMA
MBUNGE wa Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo amesema wale wanaodhani wanajaribu kumtenga Rais Samia Suluhu Hassan na Chama cha Mapinduzi (CCM) wamenoa.
Hayo ameyasema...
Naibu Katibu Mkuu Fedha azipongeza TIRA, Benki ya CRDB uanzishwaji Akaunti...
Na MWANDISHI WETU
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Lawrence Mafuru ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Bima (TIRA), pamoja na...
Halmashauri tatu zanufaika na msaada wa vifaa vya Shilingi milioni 42.3...
Na Mwandishi Wetu.
BENKI ya NMB imetoa msaada wa vifaa mbalimbali katika sekta ya afya na elimu katika halmashauri tatu za Mlimba, Malinyi na...