Thursday, October 31, 2024
Home Blog Page 98

Benki ya NMB yaanda hafla ya futari kwa wateja wake Dar...

0
Na Mwandishi Wetu KATIKA kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhan, Benki ya NMB mwishoni mwa wiki iliandaa hafla ya futari  kwa wateja wake mkoani Dar es...

BENKI YA CRDB YAWAPA SOMO WANAFUNZI WA CHUO KIKUU DODOMA

0
Na MWANDISHI WETU Benki ya CRDB kwa imeshiriki katika Kongamano la kuwajengea uwezo wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na kukabiliana na changamoto mbalimbali...

Emirates kuanza safari Dar -Dubai mara tano kwa wiki ni kutokana...

0
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM KAMPUNI ya Ndege ya Emirates imesema itaongeza idadi ya safari zake na kufikia safari tano kwa wiki kwa muda...

CCM yawaweka matumbo joto waliotajwa ripoti ya CAG, Takukuru yataka hatua...

0
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imeielekeza Serikali kuchukua hatua thabiti kwa wahusika wote waliobainika kuhusika katika ukiukaji wa...

Kikwete ana kwa ana na Tume ya Haki Jinai

0
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM RAIS mstaafu, Jakaya Kikwete amewasili katika Ukumbi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) leo Ijumaa Machi 31, 2023 tayari...

Ziara ya Kamala Harris imeacha matumaini kwa Tanzania, Rais Samia azidi...

0
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM MAKAMU wa Rais wa Marekani, Kamala Harris ameondoka nchini baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu nchini ikiwa...

Rais Samia kuongoza kikao cha Kamati Kuu CCM Dar

0
NA MWANDISHI WETU -DAR ES SALAAM MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kesho anatarajiwa kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya chama...

Serikali yaanza mchakato Dira Mpya Maendeleo ya Taifa

0
NA FARIDA RAMADHANI, DODOMA WIZARA ya Fedha na Mipango imesema kuwa Serikali imeanza mchakato wa kuandaa Dira Mpya ya Taifa ya Maendeleo (Vision 2050), ambayo...

Kamala Harris atembelea Makumbusho ya Taifa, awakumbuka waliopoteza maisha mabomu Ubalozi...

0
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM MAKAMU wa Rais wa Marekani, Kamala Haris ametembelea Makumbusho ya Taifa leo Alhamisi Machi 30, 2023 na kuweka shada...