Ujenzi SGR Mwanza-Isaka wafikia 28%
Na Mwandishi Wetu, Mwanza
UJENZI wa mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha tano kinachoanzia Mwanza hadi Isaka mkoani Shinyanga umefikia asilimia 28.
Meneja wa...
Nape afunguka sababu ya kuondolewa kwenye uwaziri
Na MWANDISHI WETU
-MOROGORO
WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amevunja ukimya akieleza sababu iliyomfanya atumbuliwe katika nafasi ya Uwaziri mwaka 2017.
Machi...
Wahariri fanyeni kazi zenu bila woga- Rais Samia
Waziri wa habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari, Nape Nnauye akimkabithi Kaimu Meneja tawi la NMB Wami Paul Nyoni (kulia) Cheti cha shukrani wakati...
NMB yakabidhi yakabidhi sare sherehe za Mwenge Mtwara
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Ahmed Abasi (wapili Kulia) akipokea moja ya traksuti zitakazovaliwa na halaiki katika sherehe za kuwashwa kwa mwenge wa...
NMB Bonge la Mpango – ‘Moto Uleule’ yazinduliwa, wateja kuzoa milioni...
NA MWANDISHI WETU, MWANZA
MSIMU wa Tatu wa Kampeni ya kuhamasisha utamaduni wa Kuweka Akiba na Benki ya NMB 'NMB Bonge la Mpango', umezinduliwa rasmi...
Dk. Mpango aipongeza NMB kampeni ya Upandaji Miti, Shule zatengewa Shilingi...
NA MWANDISHI WETU, DODOMA
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Isdor Mpango, ameipongeza Benki ya NMB na kuitaja kuwa kinara...
Aliyekuwa kiongozi wa wanamgambo wa DR Congo ateuliwa kuwa waziri
Aliyekuwa kiongozi wa wanamgambo wa DR Congo ateuliwa kuwa waziri
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi, amemteua kiongozi wa zamani wa wanamgambo,...
Hospitali ya rufaa Bombo kuanzisha kliniki za kibingwa za jioni
HOSPITALI ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo, inatarajia kuanzisha huduma za Kliniki za Kibingwa wakati wa muda wa ziada wa jioni itakayoanza kuanzia...
Wawekezaji Uganda waonyesha nia ya kuwekeza kwenye miradi ya umeme Tanzania
Na Zuena Msuya, Dodoma
Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uganda nchini Tanzania pamoja na wawekezaji kutoka nchini...
Benki ya NMB yatoa msaada wa milioni 39 kuimarisha maendeleo...
Na Mwandishi Wetu
BENKI ya NMB imetoa msaada vifaa mbalimbali kwa sekta za elimu na afya vyenye thamani ya shilingi milioni 39 kwa Wilaya za...